sw_tn/luk/17/09.md

870 B

Kuunganisha kauli:

Yesu alimaliza kufundisha. Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi hii.

Yeye hashukuru

"Yeye hakutaka kuwashukuru" au "Wewe hutashukuru"

mambo yaliyo amuriwa

Hii inaweza kusemwa "Mambo uliyo muagiza afanye"

gani?

"haki?" au "ni hii si kweli?"

wewe pia

Yesu alikuwa akizungumza na wanafunzi wake, hivyo lugha ambazo zina wingi wa "wewe" itakuwa matumizi yake.

yale uliyo amuriwa

Hii inaweza kusemwa kama "kwamba Mungu alikuamuru"

usema

"ukusema kwa Mungu"

Sisi ni watumishi tusiostahili

Hii ni kueleza kuwa wao hawakufanya kitu cha kustaili kusifiwa. "Sisi watumishi wa kawaida" au "Sisi watumishi hatustahili sifa yako"

Hamshukuru mtumishi ... alivyoamuru, je anafanya?

Yesu anatumia swali hili ili kuonyesha jinsi watu wanavyo wafanyia watumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Yeye hakutaka kumshukuru mtumishi ... aliamuru"