# Kuunganisha kauli: Yesu alimaliza kufundisha. Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi hii. # Yeye hashukuru "Yeye hakutaka kuwashukuru" au "Wewe hutashukuru" # mambo yaliyo amuriwa Hii inaweza kusemwa "Mambo uliyo muagiza afanye" # gani? "haki?" au "ni hii si kweli?" # wewe pia Yesu alikuwa akizungumza na wanafunzi wake, hivyo lugha ambazo zina wingi wa "wewe" itakuwa matumizi yake. # yale uliyo amuriwa Hii inaweza kusemwa kama "kwamba Mungu alikuamuru" # usema "ukusema kwa Mungu" # Sisi ni watumishi tusiostahili Hii ni kueleza kuwa wao hawakufanya kitu cha kustaili kusifiwa. "Sisi watumishi wa kawaida" au "Sisi watumishi hatustahili sifa yako" # Hamshukuru mtumishi ... alivyoamuru, je anafanya? Yesu anatumia swali hili ili kuonyesha jinsi watu wanavyo wafanyia watumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Yeye hakutaka kumshukuru mtumishi ... aliamuru"