sw_tn/luk/17/03.md

497 B

Kama ndugu yako akikosa

Hii kauli inaonyesha kwamba tukio hilo pengine litatokea katika siku zijazo.

ndugu yako

"ndugu" hapa limetumika kwa maana ya mtu aliye na imani sawa. "mwamini mwenzetu"

Mkemee

"kumwambia kwanguvu kwamba aliyoyafanya ilikuwa ni makosa" au "msahishe"

Na kama akikukosea mara saba

Hii inaonyesha inaweza isitokee ila kama ikitokea Yesu anawaambia watu wasamehe.

mara saba kwa siku

namba saba katika Biblia ni ishara ya ukamilifu. "mara nyingi katika siku"