# Kama ndugu yako akikosa Hii kauli inaonyesha kwamba tukio hilo pengine litatokea katika siku zijazo. # ndugu yako "ndugu" hapa limetumika kwa maana ya mtu aliye na imani sawa. "mwamini mwenzetu" # Mkemee "kumwambia kwanguvu kwamba aliyoyafanya ilikuwa ni makosa" au "msahishe" # Na kama akikukosea mara saba Hii inaonyesha inaweza isitokee ila kama ikitokea Yesu anawaambia watu wasamehe. # mara saba kwa siku namba saba katika Biblia ni ishara ya ukamilifu. "mara nyingi katika siku"