sw_tn/luk/17/03.md

20 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama ndugu yako akikosa
Hii kauli inaonyesha kwamba tukio hilo pengine litatokea katika siku zijazo.
# ndugu yako
"ndugu" hapa limetumika kwa maana ya mtu aliye na imani sawa. "mwamini mwenzetu"
# Mkemee
"kumwambia kwanguvu kwamba aliyoyafanya ilikuwa ni makosa" au "msahishe"
# Na kama akikukosea mara saba
Hii inaonyesha inaweza isitokee ila kama ikitokea Yesu anawaambia watu wasamehe.
# mara saba kwa siku
namba saba katika Biblia ni ishara ya ukamilifu. "mara nyingi katika siku"