sw_tn/luk/17/01.md

1.2 KiB

Kuunganisha kauli:

Yesu anaendelea kufundisha, lakini yeye ataelekeza nia yake kwa wanafunzi wake. Hii bado ni sehemu moja ya hadithi na siku hiyo hiyo ambayo ilianza

Ni hakika kutakuwa na mambo ambayo yanaweza kutufanya kutenda dhambi

"Mambo ambayo huwajaribu watu kutenda dhambi bila ya shaka vitatokea"

kwa mtu huyo atakayevisababisha

"kwa mtu yeyote ambaye husababisha majaribu kuja" au "kwa mtu yeyote ambaye anasababisha watu kujaribiwa"

kama jiwe la kusagia likiwekwa shingoni kwake na angetupwa

Hii inaweza kusemwa: "kama walikuwa waweka jiwe la kusagia shingoni mwake na kumtupa" au "kama mtu alikua awekewe jiwe zito shingoni mwake na kumsukuma"

jiwe la kusagia

Hili ni kubwa sana, jiwe zito la mviringo linalotumika kusaga nafaka za ngano kuwa unga" "jiwe nzito"

hawa wadogo

Hii hapa inahusu watu ambao imani bado ni dhaifu. "Watu hawa ambao imani yao ni ndogo"

na mashaka

Hii ilikua njia ya kumaanisha dhambi za kutokudhamiria. "dhambi"

Itakuwa bora kwa ajili yake kama

Ina maana kwamba adhabu ya mtu huyu kwa kusababisha watu kutenda dhambi itakua mbaya zaidi ya wazima baharini.

kwa ajili yake ... shingo yake ... yeye walikuwa ... anapaswa

Maneno haya rejea wanawake ikiwa ni pamoja na wanaume.