sw_tn/luk/17/01.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kuunganisha kauli:
Yesu anaendelea kufundisha, lakini yeye ataelekeza nia yake kwa wanafunzi wake. Hii bado ni sehemu moja ya hadithi na siku hiyo hiyo ambayo ilianza
# Ni hakika kutakuwa na mambo ambayo yanaweza kutufanya kutenda dhambi
"Mambo ambayo huwajaribu watu kutenda dhambi bila ya shaka vitatokea"
# kwa mtu huyo atakayevisababisha
"kwa mtu yeyote ambaye husababisha majaribu kuja" au "kwa mtu yeyote ambaye anasababisha watu kujaribiwa"
# kama jiwe la kusagia likiwekwa shingoni kwake na angetupwa
Hii inaweza kusemwa: "kama walikuwa waweka jiwe la kusagia shingoni mwake na kumtupa" au "kama mtu alikua awekewe jiwe zito shingoni mwake na kumsukuma"
# jiwe la kusagia
Hili ni kubwa sana, jiwe zito la mviringo linalotumika kusaga nafaka za ngano kuwa unga" "jiwe nzito"
# hawa wadogo
Hii hapa inahusu watu ambao imani bado ni dhaifu. "Watu hawa ambao imani yao ni ndogo"
# na mashaka
Hii ilikua njia ya kumaanisha dhambi za kutokudhamiria. "dhambi"
# Itakuwa bora kwa ajili yake kama
Ina maana kwamba adhabu ya mtu huyu kwa kusababisha watu kutenda dhambi itakua mbaya zaidi ya wazima baharini.
# kwa ajili yake ... shingo yake ... yeye walikuwa ... anapaswa
Maneno haya rejea wanawake ikiwa ni pamoja na wanaume.