# Kuunganisha kauli: Yesu anaendelea kufundisha, lakini yeye ataelekeza nia yake kwa wanafunzi wake. Hii bado ni sehemu moja ya hadithi na siku hiyo hiyo ambayo ilianza # Ni hakika kutakuwa na mambo ambayo yanaweza kutufanya kutenda dhambi "Mambo ambayo huwajaribu watu kutenda dhambi bila ya shaka vitatokea" # kwa mtu huyo atakayevisababisha "kwa mtu yeyote ambaye husababisha majaribu kuja" au "kwa mtu yeyote ambaye anasababisha watu kujaribiwa" # kama jiwe la kusagia likiwekwa shingoni kwake na angetupwa Hii inaweza kusemwa: "kama walikuwa waweka jiwe la kusagia shingoni mwake na kumtupa" au "kama mtu alikua awekewe jiwe zito shingoni mwake na kumsukuma" # jiwe la kusagia Hili ni kubwa sana, jiwe zito la mviringo linalotumika kusaga nafaka za ngano kuwa unga" "jiwe nzito" # hawa wadogo Hii hapa inahusu watu ambao imani bado ni dhaifu. "Watu hawa ambao imani yao ni ndogo" # na mashaka Hii ilikua njia ya kumaanisha dhambi za kutokudhamiria. "dhambi" # Itakuwa bora kwa ajili yake kama Ina maana kwamba adhabu ya mtu huyu kwa kusababisha watu kutenda dhambi itakua mbaya zaidi ya wazima baharini. # kwa ajili yake ... shingo yake ... yeye walikuwa ... anapaswa Maneno haya rejea wanawake ikiwa ni pamoja na wanaume.