sw_tn/luk/16/27.md

20 lines
497 B
Markdown

# kuwa wewe umtume aende nyumbani kwa baba yangu
"kwamba utamwambia Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu" au "tafadhali, umtume aende nyumbani kwa baba yangu"
# nyumba ya baba yangu
hii inahusu watu katika nyumba. "familia yangu"
# ili apate kuwaonya
"ili Lazaro inaweza kuwaonya"
# mahali hapa pa mateso
"mahali hapa ambapo sisi kuteseka kwa adhabu" au "mahali hapa ambapo sisi tunateswa maumivu ya kutisha"
# kwa hofu kwamba
Hii ina maana yeye hataki hili litokee "ili kwamba wao wasi"