sw_tn/luk/16/25.md

890 B

Mtoto

tajiri alikuwa mmoja wa kizazi cha Ibrahimu.

mambo mema

"mambo mazuri"

katika njia hiyohiyo mambo mabaya

"katika njia hiyohiyo alipokea mambo mabaya" au "vivyo alipata mambo ambayo yalimfanya ateseke"

yeye anatulizwa

"yeye anatulizwa hapa" au "yeye anafuraha hapa"

kwa uchungu

"mateso"

Zaidi ya hayo yote

"kwa kuongeza sababu hii"

shimo kubwa imara limewekwa

Hii inaweza kusemwa kama. "Mungu ameweka bonde kubwa kati ya wewe na sisi"

shimo kubwa

"mwinuko, kina na bonde kubwa" au "kujitenga kubwa" au "bonde kubwa"

wale ambao wanataka kuvuka

"watu wale ambao wanataka kuvuka shimo" au "kama kuna mtu anataka kuvuka"

wenyeji wake walifanya kama

hii inahusu ukweli kwamba wao wote hupokea kitu wakati wao waliishi duniani. Si kusema kwamba kile walikipata mara moja. "wakati alipokuwa hai kupokea"

Zaidi ya hayo yote

"kwa kuongeza sababu hii"