sw_tn/luk/16/25.md

44 lines
890 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mtoto
tajiri alikuwa mmoja wa kizazi cha Ibrahimu.
# mambo mema
"mambo mazuri"
# katika njia hiyohiyo mambo mabaya
"katika njia hiyohiyo alipokea mambo mabaya" au "vivyo alipata mambo ambayo yalimfanya ateseke"
# yeye anatulizwa
"yeye anatulizwa hapa" au "yeye anafuraha hapa"
# kwa uchungu
"mateso"
# Zaidi ya hayo yote
"kwa kuongeza sababu hii"
# shimo kubwa imara limewekwa
Hii inaweza kusemwa kama. "Mungu ameweka bonde kubwa kati ya wewe na sisi"
# shimo kubwa
"mwinuko, kina na bonde kubwa" au "kujitenga kubwa" au "bonde kubwa"
# wale ambao wanataka kuvuka
"watu wale ambao wanataka kuvuka shimo" au "kama kuna mtu anataka kuvuka"
# wenyeji wake walifanya kama
hii inahusu ukweli kwamba wao wote hupokea kitu wakati wao waliishi duniani. Si kusema kwamba kile walikipata mara moja. "wakati alipokuwa hai kupokea"
# Zaidi ya hayo yote
"kwa kuongeza sababu hii"