# Mtoto tajiri alikuwa mmoja wa kizazi cha Ibrahimu. # mambo mema "mambo mazuri" # katika njia hiyohiyo mambo mabaya "katika njia hiyohiyo alipokea mambo mabaya" au "vivyo alipata mambo ambayo yalimfanya ateseke" # yeye anatulizwa "yeye anatulizwa hapa" au "yeye anafuraha hapa" # kwa uchungu "mateso" # Zaidi ya hayo yote "kwa kuongeza sababu hii" # shimo kubwa imara limewekwa Hii inaweza kusemwa kama. "Mungu ameweka bonde kubwa kati ya wewe na sisi" # shimo kubwa "mwinuko, kina na bonde kubwa" au "kujitenga kubwa" au "bonde kubwa" # wale ambao wanataka kuvuka "watu wale ambao wanataka kuvuka shimo" au "kama kuna mtu anataka kuvuka" # wenyeji wake walifanya kama hii inahusu ukweli kwamba wao wote hupokea kitu wakati wao waliishi duniani. Si kusema kwamba kile walikipata mara moja. "wakati alipokuwa hai kupokea" # Zaidi ya hayo yote "kwa kuongeza sababu hii"