sw_tn/luk/16/14.md

36 lines
929 B
Markdown

# Sasa
neno hili lina weka alama ya kuhama kutoka katika taarifa ya awali.
# ambao walikuwa wanapenda sana fedha
"aliyependa kuwa na fedha" au "ambaye alikua na tamaa ya fedha"
# wao wakamdharau
"Mafarisayo wakamdharau Yesu"
# Naye akawaambia
"Na Yesu aliwaambia Mafarisayo"
# Nyie mnajihalalisha wenyewe mbele ya watu
"wewe unajaribu kujifanya kuonekana vizuri kwa watu"
# Mungu anaijua mioyo yenu
Hapa "mioyo" inahusu tamaa za watu."Mungu anaelewa tamaa yako kweli" au "Mungu anajua nia yako"
# Iyo iliyotukuka miongoni mwa watu
hii inaweza semwa kama "Yale mambo ambayo watu wanadhani ni muhimu sana"
# ni machukizo mbele za Mungu
"Mungu anachukia" au "ni mambo ambayo Mungu anayachukia"
# Taarifa kuu:
Hii ni mapumziko katika mafundisho ya Yesu, kama mstari wa 14 unatuambia taarifa za msingi kuhusu jinsi Mafarisayo wakamdharau Yesu. Katika mstari wa 15, Yesu anaendelea kufundisha na anawajibu Mafarisayo.