sw_tn/luk/16/14.md

929 B

Sasa

neno hili lina weka alama ya kuhama kutoka katika taarifa ya awali.

ambao walikuwa wanapenda sana fedha

"aliyependa kuwa na fedha" au "ambaye alikua na tamaa ya fedha"

wao wakamdharau

"Mafarisayo wakamdharau Yesu"

Naye akawaambia

"Na Yesu aliwaambia Mafarisayo"

Nyie mnajihalalisha wenyewe mbele ya watu

"wewe unajaribu kujifanya kuonekana vizuri kwa watu"

Mungu anaijua mioyo yenu

Hapa "mioyo" inahusu tamaa za watu."Mungu anaelewa tamaa yako kweli" au "Mungu anajua nia yako"

Iyo iliyotukuka miongoni mwa watu

hii inaweza semwa kama "Yale mambo ambayo watu wanadhani ni muhimu sana"

ni machukizo mbele za Mungu

"Mungu anachukia" au "ni mambo ambayo Mungu anayachukia"

Taarifa kuu:

Hii ni mapumziko katika mafundisho ya Yesu, kama mstari wa 14 unatuambia taarifa za msingi kuhusu jinsi Mafarisayo wakamdharau Yesu. Katika mstari wa 15, Yesu anaendelea kufundisha na anawajibu Mafarisayo.