# Sasa neno hili lina weka alama ya kuhama kutoka katika taarifa ya awali. # ambao walikuwa wanapenda sana fedha "aliyependa kuwa na fedha" au "ambaye alikua na tamaa ya fedha" # wao wakamdharau "Mafarisayo wakamdharau Yesu" # Naye akawaambia "Na Yesu aliwaambia Mafarisayo" # Nyie mnajihalalisha wenyewe mbele ya watu "wewe unajaribu kujifanya kuonekana vizuri kwa watu" # Mungu anaijua mioyo yenu Hapa "mioyo" inahusu tamaa za watu."Mungu anaelewa tamaa yako kweli" au "Mungu anajua nia yako" # Iyo iliyotukuka miongoni mwa watu hii inaweza semwa kama "Yale mambo ambayo watu wanadhani ni muhimu sana" # ni machukizo mbele za Mungu "Mungu anachukia" au "ni mambo ambayo Mungu anayachukia" # Taarifa kuu: Hii ni mapumziko katika mafundisho ya Yesu, kama mstari wa 14 unatuambia taarifa za msingi kuhusu jinsi Mafarisayo wakamdharau Yesu. Katika mstari wa 15, Yesu anaendelea kufundisha na anawajibu Mafarisayo.