sw_tn/luk/16/10.md

28 lines
807 B
Markdown

# nani atakayewakabidhi na mali za kweli?
Yesu anatumia swali kufundisha watu. "hakuna mtu atakayewakabidhi nyinyi mali ya kweli" au "hakuna mtu nitakupa utajiri wa kweli wa kusimamia"
# ambao nitakupa fedha yako mwenyewe?
Yesu anatumia swali hili kufundisha watu. "hakuna mtu atakupa utajiri kwa nafsi yako"
# Yeyote aliye mwaminifu
"Watu ambao ni waaminifu." Hii itakuwa ni pamoja na wanawake.
# mwaminifu katika jambo dogo
'waaminifu hata kwa mambo madogo. " hakikisha hii haina sauti kama hao sio waaminifu sana.
# mwaminifu katika mambo madogo sana
"wasio waadilifu hata katika mambo madogo." Kuhakikisha hii haina sauti kama sio waovu mara nyingi.
# fedha isiyo ya halali
Tazama 16:08
# mali wa kweli
hii inahusu mali ambayo ni zaidi ya kweli, halisi, au kudumu kuliko fedha ya udhalimu.