sw_tn/luk/16/10.md

807 B

nani atakayewakabidhi na mali za kweli?

Yesu anatumia swali kufundisha watu. "hakuna mtu atakayewakabidhi nyinyi mali ya kweli" au "hakuna mtu nitakupa utajiri wa kweli wa kusimamia"

ambao nitakupa fedha yako mwenyewe?

Yesu anatumia swali hili kufundisha watu. "hakuna mtu atakupa utajiri kwa nafsi yako"

Yeyote aliye mwaminifu

"Watu ambao ni waaminifu." Hii itakuwa ni pamoja na wanawake.

mwaminifu katika jambo dogo

'waaminifu hata kwa mambo madogo. " hakikisha hii haina sauti kama hao sio waaminifu sana.

mwaminifu katika mambo madogo sana

"wasio waadilifu hata katika mambo madogo." Kuhakikisha hii haina sauti kama sio waovu mara nyingi.

fedha isiyo ya halali

Tazama 16:08

mali wa kweli

hii inahusu mali ambayo ni zaidi ya kweli, halisi, au kudumu kuliko fedha ya udhalimu.