sw_tn/luk/16/08.md

44 lines
1.4 KiB
Markdown

# Kuunganisha kauli:
Yesu alimaliza mfano huo kuhusu bwana na wakili wa wadaiwa wake. Katika mstari wa 9, Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake.
# bwana kisha alimpongeza
maandiko hayaonyeshi jinsi bwana alitambua juu ya matendo ya wakili wake.
# alipongeza
"kusifiwa" au "akamsifu" au "kumpitisha "
# yeye alikuwa ametenda ......
"alikuwa alitenda vyema" au "Yesu alikuwa amefanya jambo la busara"
# Wana wa ulimwengu huu
Hii ina maana ya wale kama meneja wa udhalimu ambao hawajui au kutokujali juu Mungu. "Watu wa dunia hii" au "watu wa kidunia"
# Wana wa nuru
Hii inamaanisha watu wenye haki wasio na chakuficha. "wana wa nuru" au "watu waishio kwenye mwanga"
# Nina kwambia wewe
"Nina" inasemea Yesu. maneno "nawaambia" yanaweka alama ya mwisho ya hadithi na sasa Yesu anasimulia watu jinsi ya kutumia hadithi kwa maisha yao.
# makao ya milele
Hii ina maana ya mbinguni ambako Mungu anaishi.
# kujifanyieni marafiki kutokana kwa njia ya fedha isiyo halali
lengo hapa ni juu ya kutumia fedha kusaidia watu wengine, sio kwa njiacambayo utajiri unapatikana kwa uongo.
# fedha isiyo ya halali
Inawezekana Maana ni 1) "fedha iliyopatikana kidhuluma" au 2) fedha iliyo patikana kwa mambo ya kidunia.
# wanaweza kuwakaribisha
Hii inaweza kutaja 1) Mungu wa mbinguni, ambaye ameridhika kwamba umetumia hela kuwasaidia watu, au 2) marafiki ulio wasaidia na fedha yako.