sw_tn/luk/16/08.md

1.4 KiB

Kuunganisha kauli:

Yesu alimaliza mfano huo kuhusu bwana na wakili wa wadaiwa wake. Katika mstari wa 9, Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake.

bwana kisha alimpongeza

maandiko hayaonyeshi jinsi bwana alitambua juu ya matendo ya wakili wake.

alipongeza

"kusifiwa" au "akamsifu" au "kumpitisha "

yeye alikuwa ametenda ......

"alikuwa alitenda vyema" au "Yesu alikuwa amefanya jambo la busara"

Wana wa ulimwengu huu

Hii ina maana ya wale kama meneja wa udhalimu ambao hawajui au kutokujali juu Mungu. "Watu wa dunia hii" au "watu wa kidunia"

Wana wa nuru

Hii inamaanisha watu wenye haki wasio na chakuficha. "wana wa nuru" au "watu waishio kwenye mwanga"

Nina kwambia wewe

"Nina" inasemea Yesu. maneno "nawaambia" yanaweka alama ya mwisho ya hadithi na sasa Yesu anasimulia watu jinsi ya kutumia hadithi kwa maisha yao.

makao ya milele

Hii ina maana ya mbinguni ambako Mungu anaishi.

kujifanyieni marafiki kutokana kwa njia ya fedha isiyo halali

lengo hapa ni juu ya kutumia fedha kusaidia watu wengine, sio kwa njiacambayo utajiri unapatikana kwa uongo.

fedha isiyo ya halali

Inawezekana Maana ni 1) "fedha iliyopatikana kidhuluma" au 2) fedha iliyo patikana kwa mambo ya kidunia.

wanaweza kuwakaribisha

Hii inaweza kutaja 1) Mungu wa mbinguni, ambaye ameridhika kwamba umetumia hela kuwasaidia watu, au 2) marafiki ulio wasaidia na fedha yako.