sw_tn/luk/15/25.md

475 B

Sasa

Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika habari kuu. Hapa Yesu anaanza kwa kuwaambia sehemu mpya ya hadithi kuhusu mwana mkubwa.

mtumishi

neno lililotafsiriwa hapa kama "mtumishi" ni kawaida kutafsiriwa kama "kijana." inaweza kuonyesha kwamba mtumishi alikua mdogo sana.

mambo haya yanaweka yakawa nini

"nini kinatokea"

nje katika shamba

Inasemekana akilua shabani kwasababu alikua anafanya kazi uko.

mwana kondoo alie nona

Tazama 15:22