sw_tn/luk/15/25.md

20 lines
475 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa
Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika habari kuu. Hapa Yesu anaanza kwa kuwaambia sehemu mpya ya hadithi kuhusu mwana mkubwa.
# mtumishi
neno lililotafsiriwa hapa kama "mtumishi" ni kawaida kutafsiriwa kama "kijana." inaweza kuonyesha kwamba mtumishi alikua mdogo sana.
# mambo haya yanaweka yakawa nini
"nini kinatokea"
# nje katika shamba
Inasemekana akilua shabani kwasababu alikua anafanya kazi uko.
# mwana kondoo alie nona
Tazama 15:22