# Sasa Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika habari kuu. Hapa Yesu anaanza kwa kuwaambia sehemu mpya ya hadithi kuhusu mwana mkubwa. # mtumishi neno lililotafsiriwa hapa kama "mtumishi" ni kawaida kutafsiriwa kama "kijana." inaweza kuonyesha kwamba mtumishi alikua mdogo sana. # mambo haya yanaweka yakawa nini "nini kinatokea" # nje katika shamba Inasemekana akilua shabani kwasababu alikua anafanya kazi uko. # mwana kondoo alie nona Tazama 15:22