sw_tn/luk/15/15.md

24 lines
550 B
Markdown

# Alikwenda
inahusu yule mdogo.
# Kujitoa kiajira
"alichukua kazi kwa" au "alianza kufanya kazi kwa ajili ya"
# moja wa mwananchi wa nchi ile
"mtu wa nchi hiyo"
# kulisha nguruwe
"kuwapa chakula nguruwe wa mtu yule"
# angefuraia kula
"alitaka sana kwamba angeweza kula." Ina eleweka kwamba hii ni kwa sababu alikuwa na njaa sana. Hii inaweza kuwa alisema. "alikuwa na njaa ambayo angefurahia kula"
# maganda ya maharage
Haya ni maganda ya maharagwe kwamba kukua juu ya mti ....... "maganda ......" au "maganda" au "maganda ya maharage "