sw_tn/luk/15/15.md

550 B

Alikwenda

inahusu yule mdogo.

Kujitoa kiajira

"alichukua kazi kwa" au "alianza kufanya kazi kwa ajili ya"

moja wa mwananchi wa nchi ile

"mtu wa nchi hiyo"

kulisha nguruwe

"kuwapa chakula nguruwe wa mtu yule"

angefuraia kula

"alitaka sana kwamba angeweza kula." Ina eleweka kwamba hii ni kwa sababu alikuwa na njaa sana. Hii inaweza kuwa alisema. "alikuwa na njaa ambayo angefurahia kula"

maganda ya maharage

Haya ni maganda ya maharagwe kwamba kukua juu ya mti ....... "maganda ......" au "maganda" au "maganda ya maharage "