# Alikwenda inahusu yule mdogo. # Kujitoa kiajira "alichukua kazi kwa" au "alianza kufanya kazi kwa ajili ya" # moja wa mwananchi wa nchi ile "mtu wa nchi hiyo" # kulisha nguruwe "kuwapa chakula nguruwe wa mtu yule" # angefuraia kula "alitaka sana kwamba angeweza kula." Ina eleweka kwamba hii ni kwa sababu alikuwa na njaa sana. Hii inaweza kuwa alisema. "alikuwa na njaa ambayo angefurahia kula" # maganda ya maharage Haya ni maganda ya maharagwe kwamba kukua juu ya mti ....... "maganda ......" au "maganda" au "maganda ya maharage "