sw_tn/luk/15/13.md

632 B

wakakusanya wote aliokua anawadai

"akakusanya vitu vyake" au "kuweka mambo yake katika mfuko wake"

kununua vitu asivyo vihitaji, na kupoteza pesa yake juu ya maisha ya anasa

"kwa kutumia fedha yake yote juu ya vitu asivyo vihitaji"

njaa kali ikaenea nchini kote

"ukame ukatokea huko na nchi nzima haikuwa na chakula cha kutosha"

Sasa

Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika hadithi kuu. Hapa Yesu anaeleza jinsi yule mdogo akaenda kutoka kuwa na mengi hadi kuwa katika uhitaji.

kuwa katika mahitaji

"kukosa kile anachokihitaji" au "kutokua na yakutosha"

maisha ya anasa

"kuishi bila kufikiria"