# wakakusanya wote aliokua anawadai "akakusanya vitu vyake" au "kuweka mambo yake katika mfuko wake" # kununua vitu asivyo vihitaji, na kupoteza pesa yake juu ya maisha ya anasa "kwa kutumia fedha yake yote juu ya vitu asivyo vihitaji" # njaa kali ikaenea nchini kote "ukame ukatokea huko na nchi nzima haikuwa na chakula cha kutosha" # Sasa Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika hadithi kuu. Hapa Yesu anaeleza jinsi yule mdogo akaenda kutoka kuwa na mengi hadi kuwa katika uhitaji. # kuwa katika mahitaji "kukosa kile anachokihitaji" au "kutokua na yakutosha" # maisha ya anasa "kuishi bila kufikiria"