sw_tn/luk/15/13.md

24 lines
632 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wakakusanya wote aliokua anawadai
"akakusanya vitu vyake" au "kuweka mambo yake katika mfuko wake"
# kununua vitu asivyo vihitaji, na kupoteza pesa yake juu ya maisha ya anasa
"kwa kutumia fedha yake yote juu ya vitu asivyo vihitaji"
# njaa kali ikaenea nchini kote
"ukame ukatokea huko na nchi nzima haikuwa na chakula cha kutosha"
# Sasa
Neno hili limetumika hapa kuadhimisha mapumziko katika hadithi kuu. Hapa Yesu anaeleza jinsi yule mdogo akaenda kutoka kuwa na mengi hadi kuwa katika uhitaji.
# kuwa katika mahitaji
"kukosa kile anachokihitaji" au "kutokua na yakutosha"
# maisha ya anasa
"kuishi bila kufikiria"