sw_tn/luk/14/34.md

32 lines
897 B
Markdown

# Kuunganisha maelezo
Yesu anamalizia kufundisha umati wa watu.
# Chumvi ni nzuri
"Chumvi ni muhimu." Yesu anafundisha somo juu ya wale ambao wanataka kuwa wanafunzi wake.
# vipi inaweza kufanyika kuwa chumvi tena?
Yesu anatumia swali kufundisha umati wa watu. AT "hawezi kuwa chumvi tena" au " hakuna anaeweza kuifanya kuwa chumvi tena"
# mbolea
Watu kutumia mbolea ku rutubisha bustani na mashamba. Chumvi bila ladha ni haina maana ni haina hata thamani ya kuchanganywa na mbolea. AT "lundo la mbolea' au 'mbolea."
# Ni kutupwa mbali
AT "Mtu kuitupilia mbali"
# Yeye aliye na masikio ya kusikia, na asikie
AT "Kama una masikio ya kusikia, kusikiliza vizuri" au "Kama unasikia ninachosema, kuwa makini"
# Yeye aliye na masikio ya kusikia
"Yeyote anaweza kusikia" au "Mtu anikisikia mimi"
# basi naye asikie
"basi naye asikilize vizuri" au "basi naye awe makini kwa kile nisemacho"