sw_tn/luk/14/34.md

897 B

Kuunganisha maelezo

Yesu anamalizia kufundisha umati wa watu.

Chumvi ni nzuri

"Chumvi ni muhimu." Yesu anafundisha somo juu ya wale ambao wanataka kuwa wanafunzi wake.

vipi inaweza kufanyika kuwa chumvi tena?

Yesu anatumia swali kufundisha umati wa watu. AT "hawezi kuwa chumvi tena" au " hakuna anaeweza kuifanya kuwa chumvi tena"

mbolea

Watu kutumia mbolea ku rutubisha bustani na mashamba. Chumvi bila ladha ni haina maana ni haina hata thamani ya kuchanganywa na mbolea. AT "lundo la mbolea' au 'mbolea."

Ni kutupwa mbali

AT "Mtu kuitupilia mbali"

Yeye aliye na masikio ya kusikia, na asikie

AT "Kama una masikio ya kusikia, kusikiliza vizuri" au "Kama unasikia ninachosema, kuwa makini"

Yeye aliye na masikio ya kusikia

"Yeyote anaweza kusikia" au "Mtu anikisikia mimi"

basi naye asikie

"basi naye asikilize vizuri" au "basi naye awe makini kwa kile nisemacho"