# Kuunganisha maelezo Yesu anamalizia kufundisha umati wa watu. # Chumvi ni nzuri "Chumvi ni muhimu." Yesu anafundisha somo juu ya wale ambao wanataka kuwa wanafunzi wake. # vipi inaweza kufanyika kuwa chumvi tena? Yesu anatumia swali kufundisha umati wa watu. AT "hawezi kuwa chumvi tena" au " hakuna anaeweza kuifanya kuwa chumvi tena" # mbolea Watu kutumia mbolea ku rutubisha bustani na mashamba. Chumvi bila ladha ni haina maana ni haina hata thamani ya kuchanganywa na mbolea. AT "lundo la mbolea' au 'mbolea." # Ni kutupwa mbali AT "Mtu kuitupilia mbali" # Yeye aliye na masikio ya kusikia, na asikie AT "Kama una masikio ya kusikia, kusikiliza vizuri" au "Kama unasikia ninachosema, kuwa makini" # Yeye aliye na masikio ya kusikia "Yeyote anaweza kusikia" au "Mtu anikisikia mimi" # basi naye asikie "basi naye asikilize vizuri" au "basi naye awe makini kwa kile nisemacho"