sw_tn/luk/14/23.md

32 lines
566 B
Markdown

# Kuunganisha maelezo
Yesu alimaliza mfano wake.
# barabarani na mipakani
Hii ina maana ya barabara na njia nje ya mji. AT "barabara kuu na njia nje ya mji."
# kuwatawalia
Aliwadai
# ile nyumba yangu inaweza kujaa
"Ili watu wanaweza kuijaza nyumba yangu"
# kwa nilicho waambia
Neno "wewe" linamhusu mtumishi.
# wale watu
neno hapa kwa "watu" linamaanisha "wanaume watu wazima" na si tu watu kwa ujumla
# ambao walikuwa wa kwanza kualikwa
"Ambaye mimi nilimulika wakwanza"
# utaonja chakula changu cha jioni
"Kufurahia chakula cha jioni Nimetengeneza"