# Kuunganisha maelezo Yesu alimaliza mfano wake. # barabarani na mipakani Hii ina maana ya barabara na njia nje ya mji. AT "barabara kuu na njia nje ya mji." # kuwatawalia Aliwadai # ile nyumba yangu inaweza kujaa "Ili watu wanaweza kuijaza nyumba yangu" # kwa nilicho waambia Neno "wewe" linamhusu mtumishi. # wale watu neno hapa kwa "watu" linamaanisha "wanaume watu wazima" na si tu watu kwa ujumla # ambao walikuwa wa kwanza kualikwa "Ambaye mimi nilimulika wakwanza" # utaonja chakula changu cha jioni "Kufurahia chakula cha jioni Nimetengeneza"