sw_tn/luk/14/23.md

566 B

Kuunganisha maelezo

Yesu alimaliza mfano wake.

barabarani na mipakani

Hii ina maana ya barabara na njia nje ya mji. AT "barabara kuu na njia nje ya mji."

kuwatawalia

Aliwadai

ile nyumba yangu inaweza kujaa

"Ili watu wanaweza kuijaza nyumba yangu"

kwa nilicho waambia

Neno "wewe" linamhusu mtumishi.

wale watu

neno hapa kwa "watu" linamaanisha "wanaume watu wazima" na si tu watu kwa ujumla

ambao walikuwa wa kwanza kualikwa

"Ambaye mimi nilimulika wakwanza"

utaonja chakula changu cha jioni

"Kufurahia chakula cha jioni Nimetengeneza"