sw_tn/luk/14/07.md

465 B

wale walioalikwa

AT "wale ambao ni viongozi wa Mafarisayo walikuwa wamelikwa kwenye mlo"

viti vya heshima

"Viti kwa ajili ya watu wakuheshimiwa" au"'viti kwa ajili ya watu muhimu"

Wakati wewe umealikwa na mtu

AT "Wakati mtu anapokualika"

kwa sababu mtu anaweza kuwa amemualika ambaye ni wakuheshimiwa zaidi kuliko wewe

AT "kwa sababu mtu anaweza kuwa amamualika mtu ambaye ni muhimu zaidi kuliko wewe"

na kisha kwa aibu

"Basi utajisikia aibu na"