# wale walioalikwa AT "wale ambao ni viongozi wa Mafarisayo walikuwa wamelikwa kwenye mlo" # viti vya heshima "Viti kwa ajili ya watu wakuheshimiwa" au"'viti kwa ajili ya watu muhimu" # Wakati wewe umealikwa na mtu AT "Wakati mtu anapokualika" # kwa sababu mtu anaweza kuwa amemualika ambaye ni wakuheshimiwa zaidi kuliko wewe AT "kwa sababu mtu anaweza kuwa amamualika mtu ambaye ni muhimu zaidi kuliko wewe" # na kisha kwa aibu "Basi utajisikia aibu na"