sw_tn/luk/14/07.md

20 lines
465 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wale walioalikwa
AT "wale ambao ni viongozi wa Mafarisayo walikuwa wamelikwa kwenye mlo"
# viti vya heshima
"Viti kwa ajili ya watu wakuheshimiwa" au"'viti kwa ajili ya watu muhimu"
# Wakati wewe umealikwa na mtu
AT "Wakati mtu anapokualika"
# kwa sababu mtu anaweza kuwa amemualika ambaye ni wakuheshimiwa zaidi kuliko wewe
AT "kwa sababu mtu anaweza kuwa amamualika mtu ambaye ni muhimu zaidi kuliko wewe"
# na kisha kwa aibu
"Basi utajisikia aibu na"