sw_tn/luk/13/intro.md

823 B

Luka 13 Maelezo ya Jumla

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Maarifa ya Kudhaniwa

Sura hii inaanza na kurejelea ya matukio mawili, ambayo maelezo yake hayajahifadhiwa (Luka 13:1-5). Ingawa hatujui habari yote ya matukio haya, wasomaji wa siku hizi wanafahamu vizuri mafundisho haya. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit) (Luka 13:1-5).

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Matumizi ya kitendawili

Kitendawili ni taarifa inayoonekana kuwa ya ajabu, ambayo ni kana kwamba inajikana yenyewe, lakini kwa hakika sio ya ajabu. Mfano wa kitendawili katika sura hii: "wale ambao hawana muhimu zaidi watakuwa wa kwanza, na wale ambao ni muhimu zaidi watakuwa wa mwisho" (Luka 13:30).

<< | >>