sw_tn/luk/12/intro.md

2.2 KiB

Luka 12 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

"Kukufuru Roho"

Kuna matatizo mengi juu ya kutambua vizuri dhambi hii maalum. Hata hivyo, inaonekana kuwa inahusisha kumtukana Roho Mtakatifu na kazi yake. Kwa kuwa sehemu ya kazi yake ni kuwashawishi watu juu ya dhambi zao na kwamba wanahitaji kusamehewa na Mungu, yeyote anayezarau ukweli huu, atakataa kuja kwa Mungu kwa toba. Kwa sababu hii, hangeweza kusamehewa. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/sin)

Usimamizi

Ingawa neno "msimamizi" haitumiwi katika sura hii, uwakilishi, ambao ni kazi ya msimamizi, ni neno kubwa katika mafundisho haya. Msimamizi mwema ni mtu ambaye wengine wanaweza kumwamini kushughulika juu ya vitu vyao. Kwa sababu kila kitu ni cha Mungu daima, kila kitu anachompa kila mtu bado ni cha Mungu, na mtu anayepokea zawadi kutoka kwa Mungu ni mwendeshaji wa kile ambacho ni cha Mungu. zawadi kwa Mungu" instead of "zawadi kutoka kwa kwa Mungu" or "Hivi sivyo vitu vinavyoonekana tu, vitu ambavyo Mungu aliwaruhusu mtu kuchunga, lakini ni mambo pia kama uwezo wa asili wa mtu huyo. Mungu anatumaini kama watumishi wake watakumbuka kama ataweza kila mara kuwaomba ripoti ya vitu alivyowapatia. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/trust)

Mgawanyiko

Kuna fundisho muhimu juu ya mgawanyiko katika sura hii (Luka 12:51-56). Mgawanyiko huu haukusudi kuwa na maana ya kusema kama watu wangekuwa adui. Lakini, ina maana ya kusema kama katika ulimwengu kuna mgawanyiko wazi kati ya watu Wakristo na watu wasio Wakristo na wale wasio Wakristo. Kuonekan kama mfuasi wa Yesu ni muhimu kuliko uhusiano nyingine wowote wa familia.

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Mwana wa Binadamu"

Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.' (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/sonofman)

Maelekezo ya jumla na Maalum

Mara na mara Agano Jipya hutoa maagizo au amri maalum kuhusu Wakristo wote. Wakati mwingine, maagizo yake yanafikiriwa kuwa maagizo ya ujumla na yanapaswa kuchukuliwa kama "mawazo mazuri." Kwa mfano, "usiwe na wasiwasi" au "uza vitu vyako" sio maagizo kwa Wakristo wote.

<< | >>