sw_tn/luk/12/01.md

840 B

Habari za Jumla

Hii ni sehemu iliyofuata ya hadithi. Yesu alianza kuwafundisha wanafunzi wake mbele ya maelfu ya watu.

kwa wakati huo

"wakati wakifanya hayo "

wakati maelfu ya watu ..walikanyagana

Hii ni habari ya nyuma inayoelezea mpangilio wa hadithi

watu wengi maelfu

"ni kusanyiko kubwa"

walikanyagana

Hii ni kivumishi kinachoelezea wingi wa watu waliokuwepo

Alianza kusema na wanafunzi wake kwanza

"Yesu alianza kwanza kuongea na wannafunzi wake, na kuwaambia"

Mjihadhari na chachu ya Mafarisayo ambayo ni unafiki.

Kama vile chachu inavyoenea kwa donge la unga wa mkate, unafiki wao huenea kwa jamii nzima. "Mjitunze na unafiki ya Mafarisayo ambayo ni sawa na chachu" au " Mjihadhari msije mkawa wanafiki kama Mapharisayo. Hii tabia ya uovu hushawishi kila mmoja kama ambavyo chachu huharibu donge la unga"