forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
840 B
Markdown
28 lines
840 B
Markdown
# Habari za Jumla
|
|
|
|
Hii ni sehemu iliyofuata ya hadithi. Yesu alianza kuwafundisha wanafunzi wake mbele ya maelfu ya watu.
|
|
|
|
# kwa wakati huo
|
|
|
|
"wakati wakifanya hayo "
|
|
|
|
# wakati maelfu ya watu ..walikanyagana
|
|
|
|
Hii ni habari ya nyuma inayoelezea mpangilio wa hadithi
|
|
|
|
# watu wengi maelfu
|
|
|
|
"ni kusanyiko kubwa"
|
|
|
|
# walikanyagana
|
|
|
|
Hii ni kivumishi kinachoelezea wingi wa watu waliokuwepo
|
|
|
|
# Alianza kusema na wanafunzi wake kwanza
|
|
|
|
"Yesu alianza kwanza kuongea na wannafunzi wake, na kuwaambia"
|
|
|
|
# Mjihadhari na chachu ya Mafarisayo ambayo ni unafiki.
|
|
|
|
Kama vile chachu inavyoenea kwa donge la unga wa mkate, unafiki wao huenea kwa jamii nzima. "Mjitunze na unafiki ya Mafarisayo ambayo ni sawa na chachu" au " Mjihadhari msije mkawa wanafiki kama Mapharisayo. Hii tabia ya uovu hushawishi kila mmoja kama ambavyo chachu huharibu donge la unga"
|