sw_tn/luk/13/intro.md

20 lines
823 B
Markdown

# Luka 13 Maelezo ya Jumla
## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
### Maarifa ya Kudhaniwa
Sura hii inaanza na kurejelea ya matukio mawili, ambayo maelezo yake hayajahifadhiwa (Luka 13:1-5). Ingawa hatujui habari yote ya matukio haya, wasomaji wa siku hizi wanafahamu vizuri mafundisho haya. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]]) (Luka 13:1-5).
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
### Matumizi ya kitendawili
Kitendawili ni taarifa inayoonekana kuwa ya ajabu, ambayo ni kana kwamba inajikana yenyewe, lakini kwa hakika sio ya ajabu. Mfano wa kitendawili katika sura hii: "wale ambao hawana muhimu zaidi watakuwa wa kwanza, na wale ambao ni muhimu zaidi watakuwa wa mwisho" (Luka 13:30).
## Links:
* __[Luke 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__