sw_tn/luk/13/28.md

458 B

Unganisha maelezo

Yesu anaendelea kuzungumzia kuingia katika ufalme wa Mungu. Huu ni mwisho wa mazungumzo haya.

lakini nyinyi-nyinyi mulikuwa mutupwe nje

"lakini ninyi wenyewe mulikuwa mutupwe nje." AT "Lakini Mungu atawafukuza nyinyi nje"

Wao watafika

"Watu watakuja"

wa mwisho ni wakwanza

Hii ni kuhusu heshima au umuhimu. AT "baadhi ambao ni muhimu angalau watakuwa muhimu zaidi'"au "baadhi ambaye watu hawata mheshima, Mungu atamheshimu."