# Unganisha maelezo Yesu anaendelea kuzungumzia kuingia katika ufalme wa Mungu. Huu ni mwisho wa mazungumzo haya. # lakini nyinyi-nyinyi mulikuwa mutupwe nje "lakini ninyi wenyewe mulikuwa mutupwe nje." AT "Lakini Mungu atawafukuza nyinyi nje" # Wao watafika "Watu watakuja" # wa mwisho ni wakwanza Hii ni kuhusu heshima au umuhimu. AT "baadhi ambao ni muhimu angalau watakuwa muhimu zaidi'"au "baadhi ambaye watu hawata mheshima, Mungu atamheshimu."