sw_tn/luk/13/04.md

28 lines
697 B
Markdown

# Au wale
Huu ni mfano wa pili wa Yesu kuhusu watu ambao walioteseka. AT "Au kuhusisha wale" au "Fikiria kuhusu wale."
# watu kumi na nane
"18 watu"
# Siloamu
Hili ni jina la eneo la Yerusalemu
# unathani walikuwa wamepotelea dhambini
'Walikuwa wenye dhambi zaidi' au "gani hii kuthibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi?' Yesu anatumia swali kufundisha watu. AT 'sidhani kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi
# watu wengine
"watu wengine"
# Hapana nasema
Hapa "Nasema" inasisitiza "Hapana" AT "Kwa hakika walikuwa si zaidi wenye dhambi" au 'Wewe ni unakosea kufikiri kwamba mateso yao yanathibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi."
# angamia
"Kupoteza maisha yako" au "kufa"