sw_tn/luk/13/04.md

697 B

Au wale

Huu ni mfano wa pili wa Yesu kuhusu watu ambao walioteseka. AT "Au kuhusisha wale" au "Fikiria kuhusu wale."

watu kumi na nane

"18 watu"

Siloamu

Hili ni jina la eneo la Yerusalemu

unathani walikuwa wamepotelea dhambini

'Walikuwa wenye dhambi zaidi' au "gani hii kuthibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi?' Yesu anatumia swali kufundisha watu. AT 'sidhani kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi

watu wengine

"watu wengine"

Hapana nasema

Hapa "Nasema" inasisitiza "Hapana" AT "Kwa hakika walikuwa si zaidi wenye dhambi" au 'Wewe ni unakosea kufikiri kwamba mateso yao yanathibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi."

angamia

"Kupoteza maisha yako" au "kufa"