# Au wale Huu ni mfano wa pili wa Yesu kuhusu watu ambao walioteseka. AT "Au kuhusisha wale" au "Fikiria kuhusu wale." # watu kumi na nane "18 watu" # Siloamu Hili ni jina la eneo la Yerusalemu # unathani walikuwa wamepotelea dhambini 'Walikuwa wenye dhambi zaidi' au "gani hii kuthibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi?' Yesu anatumia swali kufundisha watu. AT 'sidhani kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi # watu wengine "watu wengine" # Hapana nasema Hapa "Nasema" inasisitiza "Hapana" AT "Kwa hakika walikuwa si zaidi wenye dhambi" au 'Wewe ni unakosea kufikiri kwamba mateso yao yanathibitisha kwamba walikuwa zaidi wenye dhambi." # angamia "Kupoteza maisha yako" au "kufa"