sw_tn/luk/12/54.md

16 lines
301 B
Markdown

# Kauli ya Jumla
Yesu alianza kuonge na umati
# Nyakati za mvua zimewadia
"Mvua inakuja" au "Inaenda kunyesha"
# nchi na anga
"nchi na anga" au " hali ya hewa"
# inakuwaje hamuwezi kutafsiri nyakati za leo?
Yesu alitumia swali kukemea umati. "Mnatakiwa kujua namna ya kutafsiri nyakati za leo"