sw_tn/luk/12/54.md

301 B

Kauli ya Jumla

Yesu alianza kuonge na umati

Nyakati za mvua zimewadia

"Mvua inakuja" au "Inaenda kunyesha"

nchi na anga

"nchi na anga" au " hali ya hewa"

inakuwaje hamuwezi kutafsiri nyakati za leo?

Yesu alitumia swali kukemea umati. "Mnatakiwa kujua namna ya kutafsiri nyakati za leo"