# Kauli ya Jumla Yesu alianza kuonge na umati # Nyakati za mvua zimewadia "Mvua inakuja" au "Inaenda kunyesha" # nchi na anga "nchi na anga" au " hali ya hewa" # inakuwaje hamuwezi kutafsiri nyakati za leo? Yesu alitumia swali kukemea umati. "Mnatakiwa kujua namna ya kutafsiri nyakati za leo"